Mwanzo
Kuhusu Sisi
Mawasiliano
More
"Wapendwa washarika, na wote mnaofatilia ukurasa huu, Bwana wetu Yesu Kristo asifiwe.
​
Napenda kuwakaribisha katika tovuti ya Usharika wa Kanisa Kuu iliyoandaliwa kwa ajili kuwapa mafundisho ya Neno la Mungu, Taarifa na kupata Matukio yote yanafotokea katika Usharikani
Tovuti hii itakuwa ikiweka muhtasari wa mahubiri na matangazo ya kila Siku ya Bwana pamoja na mafundisho yatolewayo katikati ya juma.​
​​